Free Web Hosting by Netfirms
Web Hosting by Netfirms | Free Domain Names by Netfirms


Nyimbo Online


 



Mtume D. Maboya Upako huangusha au husimamisha?

 

Linakukera? Liseme.


Mchungaji James Maina Ng'ang'a aitikisa Mombasa

 

Nyakati Gazeti huru la Kikristo kila wiki. Hatuogopi matisho ya CCM. Wanaoigopa CCM ole wao, Wasifikiri wataepuka upanga wa CCM. Heri wanaokufa wakiwa tayari wamewapasha CCM ukweli wao. Kwamba wao ni wezi tena ni chama cha majambazi.


sms Messages


Gazeti la Nyakati
Kwenye Internet

http://nyakati.netfirms.com

Tel. 254722602445 E-mail:
munishifaustin@yahoo.com

Mtume Joe Kayo

Kayo, Joseph b. 1936 Deliverance Church Kenya
Dr. Joe Kayo is the founder of Deliverance Church, a charismatic and indigenous ministry that has spread into Uganda and Zambia. He has preached to large crowds in Kenya and influenced many prominent ministers.

He was born in 1936 in Kisii District, Nyanza Province in Kenya. He went to school in his village and later to the Pentecostal Bible College in Kisumu. He describes himself as a self-taught man in several fields, although he has been awarded two honorary doctoral degrees: from the U.S. in 1987 and Nigeria in 1990.

He was born again in February 1957 and later ordained by the Pentecostal Assemblies of God. Joe met his wife Rose on a preaching tour in Uganda with his team of evangelists. After a terminally ill patient at Rose's home was miraculously healed as a result of his prayers, Rose's father begged Joe to take Rose for his wife as a gift of appreciation for his ministry.

Joe temporarily turned down the offer to first seek the will of God. As it turned out, this was God's will for Joe and Rose. A wedding was planned within weeks. The couple has three children and two grandchildren. Many consider him a dynamic preacher anointed by the Holy Spirit.

Signs and wonders as well as documented cases of miraculous healing and the slaying in the Spirit are frequent manifestations of Joe's ministry. Thousands have been born again and delivered from demonic forces. He derived the name for his ministry from these recurring acts of deliverance.

Joe believes that it is not enough to be saved from sin but that one needs to be delivered from the many demonic forces at work in Africa. He argues that in Luke 4:18-19 Jesus' ministry included bringing deliverance to the captives as a result of His anointing.

He claims that the same anointing that Jesus had was promised not only to the Apostles of Biblical times but also to those God calls today. Thus, Joe calls himself an Apostle because he claims to have the same anointing which characterized Jesus' ministry. Joe speaks several languages including Ekigusi, Dho Luo, Swahili, Luganda and English. He is a powerful and effective communicator, and an excellent Bible expositor,- an element that has made his ministry popular among the educated in East and Central Africa.

University students have been the focus of his ministry. Consequently, Deliverance Church services were held in English and translated into other languages. The use of English made it possible to expand the ministry to Uganda and Zambia. Through his ministry Joe has led many church leaders to the Lord, discipled and commissioned them for ministry.

At the height of Joe's ministry in the late nineteen seventies, some allegations were made against him which led to a sharp disagreement with his board members. As a result Joe resigned from Deliverance Church. In 1978, he founded the Christian Family Church and Joe Kayo Ministries International, of which he is the executive Chairman. He has ministered in the United States, Zambia, Canada, South Africa, England, the Democratic Republic of Congo, Malawi, Japan, and Hong Kong.

He publishes Revival Digest, a magazine in which he continues to share his vision. He has written the following books: The Bible Way to Success; Standing Alone with God; Twenty/Twenty Vision; Prayer: Supernatural Force, and Why I speak in Tongues.

Francis Manana
--------------------------------------------------------------------------------
Sources: Stephen Thuo and Julius Akenga, interview by author (Pan Africa Christian College, Nairobi, Kenya).
--------------------------------------------------------------------------------
This story, submitted in 2000, was researched by Dr. Francis Manana, Professor of Evangelism and Missions and DACB Liaison Coordinator, Pan African Christian College, Nairobi, Kenya.
Apollo Joo Akumbukwa

Mtume Joe Kayo, Mwinjilisti na mwimbaji Munishi, Na Marehemu Apollo Joo


After Kayo Tuimising took over DC church

Now is Mark Kariuki the Bishop of DC Church

Askofu Kakobe msiyemjua


Askofu Zakaria Kakobe wa kanisa la Full Gospel Dar

Ratiba za ibada makanisani
Ratiba za Ibada makanisani Afrika ya mashariki na kati pia ulimwenguni kote.
Tuma utaratibu wa ibada za kanisa lako pamoja na picha kwa mhariri munishifaustin@yahoo.com nasi tutaiweka kwenye mtandao isomwe duniani kote. Huduma hii ni bure kabisa na usidanganywe na yeyote ulipe chochote. Bonyeza hapa

Tangaza Biashara yako Bure
Tuma picha na maelezo kwa munishi@munishi.com

http://munishi.com FREE!
Send a photo and information to munishi@munishi.com


Mchungaji Ramsey J. Ngwejela Mwandishi maarufu wa makala Nyakati
Makala zake zimewavutia wengi katika gazeti la Nyakati. Wengi hununua Nyakati ili wasome makala zake. Ni mwandishi wa kujitolea, na pesa zote wanapata Nyakati. Wanamwambia atalipwa mbinguni, ma wao wanazipokea hapa duniani. Ukiguswa kuisaidia huduma ya Mchungaji huyu, wasiliana naye kwa anwani hii. S.L.P. 10130 Dar. Simu 255-744-771016 E-mail huyanewo@hotmail.com

Censorship turning systematic in Tanzania

Gospel singer Faustin Munishi Mkapa banned his Gospel cassette
Maisha yangu hatarini-Asema mhariri

Mr. ADOLD VICTOR Mhariri wa gazeti la Nyakati litolewalo kila Jumapili TZ.

Mr. ADOLD VICTOR Mhariri wa gazeti la Nyakati litolewalo kila Jumapili Tanzania Analalamika kwamba maisha yake yako hatarini.Akiongea na http://nyakati.netfirms.com Bwana Victor alisema kwamba serikali Tanzania imekuwa ikimfuatilia kuhusiana na habari zilizoandikwa hapa. Alikana kuhusika kwa njia yeyote na yaliyoandikwa hapa. Kwa sauti ya mawimbi, alisikika muoga kwenye simu kana kwamba waliokuwa wakimtishia maisha walikuwa naye wakati huo. Hayo ndiyo maisha ya waandishi habari Tanzania kila siku. Aliwaelekeza wanaomsumbua katika web site ya http://munishi.com wakajisomee wenyewe. Pia alisema kwamba ataandika katika ukurasa wa Maoni ya mhariri kumkana Munishi na makala zake za kuikosoa CCM. Habari zaidi

Kulola KADA wa CCM?

A
skofu Moses Kulola wa EAGT Katika mahubiri yake hupenda kukipigia debe chama cha CCM. Tangu wakati wa Nyerere, Swerikali Tanzania ilimpatia Kulola walinzi wanaolipwa na serikali, ili akipigie debe chama hicho. Kulola alikaidi uongozi wa TAG ikazuka vita kati yake na Askofu Emanuel Lazaro. Serikali ilimpendelea kulola kwani alidai misaada mingi kutoka Marekani ilikuwa na lengo la kupenyeza CIA Tanzania kwa kutumia TAG. Nyerere aliinunua hiyo jumla kwani sera zake za ujamaa zilizoshindwa zilikuwa zikihofu sana Marekani wasijeleta ubepari Tanzania. Kulola alionekana malaika wakati Lazaro serikali ilimuona shetani. Lazaro alikwamishwa mpaka alipoachia ngazi ya uaskofu. Kulola mpaka leo anafaidi uongo wake wa kuidanganya serikali kwamba CIA walimtumia Lazaro. Ukiyasikiliza mahubiri ya kulola kwa makini, utakuta anawalisha waumini siasa za CCM bila wao kujua. Kulola ndiye mhubiri wa DOLA Tanzania. Mikutano yake inalindwa na kikosi maalum, Yeye mwenyewe analindwa kila aendako, Ni kipenzi cha CCM. Tuombe iwe hata mbinguni Mungu atampa heshima anayopewa na CCM. Vinginevyo atakuwa ameshavuna duniani. Nchini Kenya Kitonga aliipamba sana KANU na alikuwa mhubiri wa dola Kenya. Tangu KANU waachie ngazi Kitonga yuko nje ya duara la madaraka. Habari zaidi

Hoja moto kwenye mjadala wetu leo.
CCM Yafananishwa na JEHANAMU Tanzania

CCM Wengine wanakiita Chama Cha Majambazi.
CCM imeleta Jehanamu Tanzania. Watanzania watakaoingia Jehanamu, Itabidi Mungu awapunguzie ukali wa moto kwani tayari wameungua vya kutosha chini ya utawala dhalimu wa CCM. CCM ni wanyanganyi. Walianza kuwanyanyanya wananchi mali zao wakitumia azimio la Arusha, na sasa Mkapa anatunyanganya mali akitumia ukusanyaji wa kodi. Anatumia TIN kama nambari 666 ya mpinga Kristo kutunyanganya mali zetu. Je Roho ya mpinga Kristo inafanya kazi ndani ya CCM? Kila dalili zinaonyesha hivyo.


Mkuu wa chuo IDM apania kuufufua "Unyerere"

Mkuu wa chuo kikuu cha IDM Mzumbe amepania kufufua sera za Nyerere zinazoelekea kufa Tanzania. Habari Zaidi........

Mkapa Anatuibia Kiutandawizi?

Askofu Selvester Thadey amempongeza Rais Mkapa na kuwataka watanzania wawe na maombi ya kufunga na kuomba ili Mungu awape kiongozi na wala siyo mtawala. Alimtaja Mkapa anayemaliza muda wake 2005, Kama kiongozi aliyepambana na misukosuko mingi hasa ukitilia maanani kwamba Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliaga dunia wakati anaanza kipindi chake cha utawala. Habari Zaidi......

Injili inalinda maslahi ya Mungu duniani

Mwinjilisti na mwimbaji wa nyimbo za Injili Faustin Munishi

Injili inalinda maslahi ya Mungu duniani. Watu dunia na vyote vilivyoko ni mali ya Mungu. Hatuwezi kunyamaza wakati Mkapa na kundi lake wanapowaua waislamu zaidi ya 70 huko Zanzibar kwa sababu za kisiasa. Hata kama waliouawa siyo wakristo, lakini ni watu wa Mungu. Tukilinyamazia kesho itakuwa zamu yetu kuuawa. Hatuna nia kujiunga kwenye siasa, lakini wanasiasa wanapoyaingilia maslahi ya Mungu, chombo pekee kukemea hayo ni INJILI. Tunapowakemea wanasiasa, ndiyo tunaihubiri Injili. Tunaponyamaza ndiyo tumechanganya siasa na dini. Kwa hiyo sisi tunaokemea maovu yatendwayo na Mkapa, ndio tunaoihubiri Injili. Wale wanaowaunga Mkono kina Mkapa na kikosi chake cha mauaji ndio tunaotakiwa kuwaambia waachane na siasa kwani itawatoa katika kweli. Nasikitika kusema kwamba tayari wameshatoka katika kweli. Kwa hiyo siwezi kuacha kuyakemea maovu wanasiasa wayatendeayo jamii. Nikifanya hivyo nitakuwa nimekoma kuihubiri Injili.Habari zaidi

Rais wa 4 Tanzania lazima awe raia" Faustin Munishi

Rais wa 4 Tanzania lazima awe raia" Faustin Munishi

Maoni yako

Nchi yetu Tanzania inatawaliwa na Mkapa ambaye taaluma yake ni uandishi wa habari, Lakini tunasikitika kusema kwamba Tanzania hakuna uhuru wa kutoa mawazo. Waandishi tunatishwa na vyombo vya dola tusiseme mambo yalivyo. Tumeamua liwalo na liwe. Tutasema tu.

 

Study The Bible

Passage (eg. John 3:16):

Search word(s) (eg. saved):



 

Nyakati Tel. 254722602445 Nairobi Kenya East Africa
E-mail: munishifaustin@yahoo.com
Check mail at Hotmail

 

Check Mail at Yahoo